FT: Kaizer Chiefs 4-0 Simba SC | Klabu Bingwa Afrika CAFCL | FNB Stadium

FT: Kaizer Chiefs 4-0 Simba SC | Klabu Bingwa Afrika CAFCL | FNB Stadium

Hakuna channel yoyote inayorusha hii game? Maana DStv nimesearch mpka nimechoka Sasa.
 
Kaizer Chiefs, kama tulivyo kubaliana! msiniangushe! Maana huu mpira hautaki hasira. Kama Prisons wameweza, nyinyi mshindwe mna nini?

Piga hao mikia fc!!
Yes

Hizi dua ndio tulikuwa tunasubiri, sasa tunakwenda kusawazisha na kuongeza kadhaa
 
Simba Aluta Continua, Nusu Fainali ndio lengo la Watanzania wote kwa sasa.
 
Back
Top Bottom