FT: Kaizer Chiefs 4-0 Simba SC | Klabu Bingwa Afrika CAFCL | FNB Stadium

Morisson imekuwaje mbona hayupo kabisa?
Mimi binafsi BM namkubali kama mchezaji mzuri lakini kwenye mechi sensitive kama hizi akikosekana nafurahi.
Kwasababu yule bwana midevu kumpiga ngumi refa ama mchezaji bila sababu yeyote ni kugusa tu,au anaweza akafanya tukio ambalo sio la kiuwana michezo akiwa uwanjani kwenye mechi muhimu kama hii na akaigharimu timu.
 
Unaweza nitumia file uliyofanyia configuration Kama hutojal... File uliyo import kama umetumia hiyo process
 
Unaweza nitumia file uliyofanyia configuration Kama hutojal... File uliyo import kama umetumia hiyo process
It means data zitahama kutoka kwangu kuja kwako
Mm sitakuwa na uwezo tena wa kupata free data
 
Bwalya kuwa MotM

Namuona akitawala dimba mithili ya Iniesta katika ubora wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…