Utopologist
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 998
- 2,506
Mkuu tupe linki kama ya jana
HusseinYule beki gani wa Simba alitaka kutoa boko,badala ya kuucheza mpira yeye anataka kutumia mwili na mwili wenyewe hana,tena ndani ya penati box?
Ni OnyangoYule beki gani wa Simba alitaka kutoa boko,badala ya kuucheza mpira yeye anataka kutumia mwili na mwili wenyewe hana,tena ndani ya penati box?
Kaizer wanaingia nusu haya magoli ni mengiGoli la 2
inashangaza kwa nini wakati Kaizer haina maajabu yeyoteDefence imezubaa sana
utaiona tuuSioni sababu ya kukosa point 3