Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole kwa kutoka.....hata wakitolewa tumejitahidi sana sana.
Ndio kazi zake huyo kibaka wa Mathale NairobiOnyango anacheza kick boxing, anapiga roba za kufa mtu.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Pana mtu kasema game plan yenu haikuwa nzuri nadhani nakubaliana nae kwa kuwachezesha Mkude na Lwanga na Bwalya kwangu naona haikuwa sawa. Yote kwa yote poleni watani tizameni makosa yenu bado pana mchezo mmojaSimba kama timu leo tumezidiwa kwa mbinu,jamaa wametuzidi na wametufunga,pasi chache wapo golini wanatukisa nyavu.
AahWatasoma wakishatulia....🤣
Tumefungwa ujue alafu unatuandikia barua ndefuWatasoma wakishatulia....🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nasikia kuna paka alisahaulika DarNyungu imekolea
Unataka kukimbilia wapi ww kujaaaaBado sijakata tamaa, ila kuna cha kujifunza kidogo juu ya hii aibu tuliyoipata.
Najua baada ya hii mechi mitandaoni kutakuwa ni sehemu mbaya sana kwa Mashabiki wa Simba Sc, me binafsi nadhani nitajipa likizo kidogo na kama ni humu jF nitawekeza muda wangu mwingi kwenye jukwaa la siasa[emoji28].
Najaribu kufikiria tu, kama mimi naumia kiasi hiki kwa baadhi ya comments za dhihaka juu ya Simba Sc huko mitandaoni kiasi kwamba siitamani hata simu yangu, vipi wale watu ambao huwa wanapata mashambulizi ya mitandaoni(cyber bullies)[emoji848]?
NB;Hii game imeshakuwa ngumu kwetu, labda tufanye maajabu kama yale ya Liverpool fc kumfunga Barca pale Anfield.
Sijui alikuwa kafumba macho but bonge la assist na jamaa kaitendea haki pasi ile.4-0 mohamed hussein anatoa pasi nzuri kabisa hapa
Ahahaha,Nasikia kuna paka alisahaulika dar
Kapiga assist 2 leoSijui alikuwa kafumba macho but bonge la assist na jamaa kaitendea haki pasi ile.
guys kuweni makini na hii ID msipo makinika mnaweza kunipa case bure mkidhani ni mimiMechi ya leo simba anashinda ila idadi ya goli nitakuja kuiweka baadae
Mchezaji bora nani? Ukiona mchezaji anakuja kucheza ligi ya bongo ujue huyo ni galasa. Tanzania hatuna hela ya kununua wachezaji bora. Mtu akipata zero form four, ukimpa mtihani wa la saba lazima aonekane kipangaUmeandika kiushabiki zaidi,Simba inawachezaji bora,kufungwa leo goli nne haijalisha kuwa Simba sio bora.
Kwenye mpira kuzidiwa na kufungwa ni kawaida kwenye soka.
Simba nguvu moja.
Hakuna cha game plan mkuu leo Simba imezidiwa kwa mbinu chache sana tena sana.Pana mtu kasema game plan yenu haikuwa nzuri nadhani nakubaliana nae kwa kuwachezesha mkude na lwanga na bwalya kwangu naona haikuwa sawa. Yote kwa yote poleni watani tizameni makosa yenu bado pana mchezo mmoja
Mkuu mpaka mnawapiga hizo nne wao wanakuwa wamesinzia?Hata tukiwapiga nne tutaenda kwenye matuta.
Simba ni bora na ina wachezaji bora ndo maana imefika robo wakiongoza kundi la kifo kundi"A" na upambanaje wake mpaka kufika robo umeonekana wazi na kila mtu ameona.Mchezaji bora nani? Ukiona mchezaji anakuja kucheza ligi ya bongo ujue huyo ni galasa. Tanzania hatuna hela ya kununua wachezaji bora. Mtu akipata zero form four, ukimpa mtihani wa la saba lazima aonekane kipanga