FT: Kariakoo Derby | Simba 2-1 Yanga | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 10.10.2026 |

Kwa nini MANAGEMENT inakaaga kimya kila mara referee ARAGIGE akipangwa Deby.....
Ni ulofa ,ujinga, unyonge....

Ni wakati ni SIMBA watafute other MSEMAJI
 
Simba wasipotafuta bao la halali hapo, wasitegemee kuna penalty wala Foul ya maana,
Nawaona tu wanacho kitafuta hapo, matokeo yatabaki hivyo hadi FT.

km kubadilika hawawezi. Aaaah
Kwani kuna sehemu walistahili penalty na haikutolewa?
 
Sasa nawaelewa simba Arajiga ni mpumbavu sana.....
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mbona bado hajawafurahisha, ukitaka kumjua Arajiga zaidi ktk dabi, 2nd half, mbona utampendaaa.

Subirii uonee!! Hujaona badoo. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…