Huyo atakayekandwa ni SimbaSimba kashazaa hakuna mvua ni mawingu na jua na tunyunyu tu, leo kuna mtu anaenda kukandwa goli 3 km sio 4 na kuendelea nipo pale
Guvu moyaaaaaaMnyama mkali nguvu mojaπͺ
Saa 10 sio mbaliUmeanza eeeeeeee
Izogeeeeeeeeee
Leo mtaita maji mma ni jambo la muda TU.
Saa moja bwanaa usiku πSaa 10 sio mbali
Ni saa mojaSaa 10 sio mbali
Tunashushia na machozi ya simba π»Guvu moyaaaaaa
Leo Huku Kuna hali ya mvua mvuaTunashushia na machozi ya simba π»
Safi sanaLeo Huku Kuna hali ya mvua mvua
Hapa nataka nianze kupiga mambo
Wewe CEO, ni shabiki wa team gani?Bookmarked π
Akikujibu ni tagWewe CEO, ni shabiki wa team gani?
πππAkikujibu ni tag
Kagera SugarWewe CEO, ni shabiki wa team gani?
CEO ninong'eneze basi pekee angu, sitawaambia watu. πKagera Sugar
Sababu yamewekwa public na sio chumbani , hata Mwalimu Mwerevu humkosoa Mwanafunzi mjinga akienda wrong .
Anyway , nothing serious huu uzi kwa ajili ya refreshment , jokes and fun
Kwasababu mimi ni shabiki wa mpira, siyo shabiki wa timu kama weweKwanini usiseme Refa Ni Arajiga na atafanya makosa ya kibinadamu kwa upande wa simba.