FT: Ken Gold 0-1 Yanga | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 25.09.2024

FT: Ken Gold 0-1 Yanga | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 25.09.2024

Hivi Chama na Baleke ndio wamesajiliwa Yanga ?
Kumbe walikuwa Machawa wa Yanga.
 
Ndiyo nimeamka baada ya kuzimia kwa zaidi ya msaa 20 kutokana na mshituko baada ya Yanga kupata matokeo kiduchu haya mbele ya newcomer. Inainkumbusha Ihefu tena
 
Back
Top Bottom