S Ser JF-Expert Member Joined Dec 16, 2023 Posts 1,273 Reaction score 1,070 Sep 26, 2024 #301 DR SANTOS said: Pole sana Cc Pdidy Cc Ser Click to expand... Mkuu pole ya nini tena? Mimi Yanga huwa simbetii
DR SANTOS said: Pole sana Cc Pdidy Cc Ser Click to expand... Mkuu pole ya nini tena? Mimi Yanga huwa simbetii
DR SANTOS JF-Expert Member Joined Mar 11, 2019 Posts 12,846 Reaction score 28,106 Sep 26, 2024 #302 Ser said: Mkuu pole ya nini tena? Mimi Yanga huwa simbetii Click to expand... 😀😀nilitaka uone jamaa alivojimaliza kwa yanga
Ser said: Mkuu pole ya nini tena? Mimi Yanga huwa simbetii Click to expand... 😀😀nilitaka uone jamaa alivojimaliza kwa yanga
Che mittoga JF-Expert Member Joined Mar 28, 2017 Posts 12,658 Reaction score 16,205 Sep 26, 2024 #303 Hivi Chama na Baleke ndio wamesajiliwa Yanga ? Kumbe walikuwa Machawa wa Yanga.
Kichuguu Platinum Member Joined Oct 11, 2006 Posts 17,048 Reaction score 22,790 Sep 26, 2024 #304 Ndiyo nimeamka baada ya kuzimia kwa zaidi ya msaa 20 kutokana na mshituko baada ya Yanga kupata matokeo kiduchu haya mbele ya newcomer. Inainkumbusha Ihefu tena
Ndiyo nimeamka baada ya kuzimia kwa zaidi ya msaa 20 kutokana na mshituko baada ya Yanga kupata matokeo kiduchu haya mbele ya newcomer. Inainkumbusha Ihefu tena
S Ser JF-Expert Member Joined Dec 16, 2023 Posts 1,273 Reaction score 1,070 Sep 26, 2024 #305 DR SANTOS said: 😀😀nilitaka uone jamaa alivojimaliza kwa yanga Click to expand... Wale Wa over 1.5 jana wamechaniwa mikeka sana na Yanga. Nadhani pia mdau ni shabiki wa YANGA hivyo alibetia kwa kuiamini sana team yake
DR SANTOS said: 😀😀nilitaka uone jamaa alivojimaliza kwa yanga Click to expand... Wale Wa over 1.5 jana wamechaniwa mikeka sana na Yanga. Nadhani pia mdau ni shabiki wa YANGA hivyo alibetia kwa kuiamini sana team yake
princess ariana JF-Expert Member Joined Aug 19, 2016 Posts 9,245 Reaction score 18,347 Sep 26, 2024 #306 Kalpana said: Kamu dauni la prinsesa... Click to expand... Mtani huu mwenendo mi binafsi unanitia mashaka kama wameamua kufocus na Club bingwa waseme
Kalpana said: Kamu dauni la prinsesa... Click to expand... Mtani huu mwenendo mi binafsi unanitia mashaka kama wameamua kufocus na Club bingwa waseme
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Sep 26, 2024 #307 princess ariana said: Mtani huu mwenendo mi binafsi unanitia mashaka kama wameamua kufocus na Club bingwa waseme Click to expand... Wana malengo yao kikubwa wanasema point 3 tuu...
princess ariana said: Mtani huu mwenendo mi binafsi unanitia mashaka kama wameamua kufocus na Club bingwa waseme Click to expand... Wana malengo yao kikubwa wanasema point 3 tuu...