Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
afande baccaNani kafunga
Wee watu wanajipigia tuuKipa Bora Msimu uliopita hadi sasa hana Clean Sheet hata moja!![]()
![]()
uyo mtangaza mpige kofiMi nmekaa hapa naskiliza mpira na sijaskia goli🤣
wako wana test mitambo magoli ya kutosha huwa n kipindi cha piliMipango ya yanga kufunga mibovu ... na hii itawakosesha magoli
toka hapo ulipo kaa, hamia kwingine utasikia goliMi nmekaa hapa naskiliza mpira na sijaskia goli🤣
Ndo pakupatia pwente...😃😃Hawa kengold wenyewe mdebwedo...watu wanajipigia tuu
Uko usingizini. Pole.Daaah naionea huruma timu ya nyumbani ken gold .......
Japo tuwape kichapo kama kile walipewa makolo