FT: Ken Gold 0-1 Yanga | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 25.09.2024

FT: Ken Gold 0-1 Yanga | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 25.09.2024

Naona Yanga wanatafta kufuta ile kauli ya kusema KEN ni vibonde
Mradi tu waonekane wanakaza

Aminini hamna magoli apa leo
 
Mbeya ndio jiji chafu kuliko yote 😂😂
city hamna kitu pabovu sanaa...kamji kaduchuu...kamepaukaa...vijumba vya matope mji mzima...mji biashara wanaanza kufunga saa 10....saa moja daladala hamna na watu hamna...jiji unazunguka masaa mawil limeisha
 
Hivi Mbeya ni Jiji?
 
Akina mwaipopo mwakareli watapigwa zakutoshaaaaa leo 💚💚💛🖤🖤💪💪!

Cc Smart911
Ngoja tuone kipindi cha pili. Lakini goli limefungwa na beki kwa set piece.

Goli kama hilo inatakiwa lifungwe kwenye mechi ambayo ni ngumu na siyo hii Kengold huku mkijitapa kuwa na viungo na washambuliaji hatari.
 
Back
Top Bottom