Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
1-1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee inasikitisha sana yaani sanaKwa maelezo yako,mji uko vilevile kama nilivyoukuta miaka zaidi ya kumi iliyopita
Mzize anazinguaaaa
Ah safi ndio uzuri mtu anaweka mambo hadharani na mchezaji anajua mapema tuu
3pointsKwani hii mechi tulitaka point 3 au magoli ya mvua?
DuhhhGooooooooal, chumaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Huwa kila wakitoka kucheza mchezo wa CAF wanakuwa na tempo ya chini sana mechi inayofuata. Hata msimu ulioisha ilikuwa hivi hivi, kila wakitoka kucheza mechi ya kimataifa wakija mechi ya ligi wanapata ushindi kwa taabuYanga iko chin san leo