FT: Ken Gold 0-1 Yanga | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 25.09.2024

FT: Ken Gold 0-1 Yanga | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 25.09.2024

Huwa kila wakitoka kucheza mchezo wa CAF wanakuwa na tempo ya chini sana mechi inayofuata. Hata msimu ulioisha ilikuwa hivi hivi, kila wakitoka kucheza mechi ya kimataifa wakija mechi ya ligi wanapata ushindi kwa taabu
Si kikosi kipana watumie wale ambao walikua benchi
 
Back
Top Bottom