Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Utopolo ni overated
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kikosi kipana watumie wale ambao walikua benchiHuwa kila wakitoka kucheza mchezo wa CAF wanakuwa na tempo ya chini sana mechi inayofuata. Hata msimu ulioisha ilikuwa hivi hivi, kila wakitoka kucheza mechi ya kimataifa wakija mechi ya ligi wanapata ushindi kwa taabu
tulieni mnywe supu
Overated utopolo tokea msimu huu uanze hawajapoteza mechi hata mojaUtopolo ni overated
nayo ni matokeo piaInaweza kuisha 1-1
kinoma anYanga wanazingua sasa
Tuongeze salaInaweza kuisha 1-1
Usikute wamechukua mikoba ya IHEFUIla watu wa Mbeya huwa Yanga ikichezaga kwao wanakuaga disapointed
Mmezingua hawa ni wakupiga tatu bwana...au wachezaji wamebeti