FT: Ken Gold 0-1 Yanga | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 25.09.2024

FT: Ken Gold 0-1 Yanga | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 25.09.2024

Ila ball la bongo linafuatiliwa.

Nimepita mahali hiyo nyomi sio ya kawaida kabisa
 
Kazi kwenu wachambuzi mliwapa idadi kubwa ya magoli timu yenu ambayo mmeipa ubingwa kabla ya ligi kuanza.
Leo mtasema nini tena wahuni nyie
 
Nyomi la Mbeya halijawahi furahia timu yako.
Hivi uchawi hauvuki mkoa?
Mbona huko mikoani Uto chali sana?

Tutasikia Gamondi anaanza kuulaumu uwanja. 🤣🤣
sio mkoa ni mbeyaaaa
Yanga hawana bahati na mbeya
 
dhidi ya waethiopia!
Ndio hao hao ni mabingwa nchini kwao, msimu uliopita Yanga katoka kucheza klabu bingwa dhidi ya Al Merreikh baada ya hapo akaenda Mbeya kucheza na Ihefu, tena ihefu ilikuwa inaburuza mkia lakini ikamtandika Yanga.
 
Back
Top Bottom