FT: Ken Gold 0-1 Yanga | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 25.09.2024

Nyomi la Mbeya halijawahi furahia timu yako.
Hivi uchawi hauvuki mkoa?
Mbona huko mikoani Uto chali sana?

Tutasikia Gamondi anaanza kuulaumu uwanja. 🤣🤣
Mkoani chali wapi mbona unaonesha umbumbumbu? Yanga imecheza michezo miwili away msimu huu na yote kashinda. Msimu uliopita Yanga kapoteza mechi mbili tu vs Azam na vs Ihefu, sasa unasemaje Yanga mkoani chali? Yanga msimu uliopita ndio timu iliyoongoza kwa kukusanya point nyingi away kuliko timu zote. Njoo na takwimu kupingana na hoja we kolo ushabiki umekujaa tupu
 
Mkoani speed ni 1g to 2g why?
Uchawi hautoki Dar?
 
Au ndo madhara ya kikosi kipana??
Hatufungwi ila kufunga NBC naona kama tumeanza na mwanzo mbovu! Kwa ubora wa Yanga nilitegemea 5 5 kila timu inayotujia
Na huu uzembe wa kukosa kosa magoli siupendi!
Au ndo tumeota mbawa ?
Yani wajenga kikosi mechi2 wana michomo 7 sjui sisi mabingwa wa Ligi hii mara 3 mfululizo tunashinda moja kwa timu zilizopanda daraja aibu hii...
Kwanzia leo mi naacha kutembea kifua mbele naishi kama underdog wallah
Bora useme weye
 
Nyomi la Mbeya halijawahi furahia timu yako.
Hivi uchawi hauvuki mkoa?
Mbona huko mikoani Uto chali sana?

Tutasikia Gamondi anaanza kuulaumu uwanja. 🤣🤣
Mimi mwenyewe mwana Mbeya na nimefurahi na nipo Mbeya uwanjani mubashara

Keshhaongea prof Gamondi.
 
Mkoa upi alishashinda nyingi?
Zaidi ya Dar?
Vs Kagera Sugar Kaitaba kapigwa goli 2
Vs Namungo akiwa lindi kapigwa 3
Vs Dodoma jiji akiwa Dodoma kapigwa 4
Vs Mtibwa akiwa Morogoro kapigwa goli 3
Vs Geita Gold akiwa Mwanza kapigwa goli 3
Vs Tanzania prisons akiwa Mbeya kapigwa goli 2
 
Au ndo madhara ya kikosi kipana??
Hatufungwi ila kufunga NBC naona kama tumeanza na mwanzo mbovu! Kwa ubora wa Yanga nilitegemea 5 5 kila timu inayotujia
Na huu uzembe wa kukosa kosa magoli siupendi! See
Au ndo tumeota mbawa ?
Yani wajenga kikosi mechi2 wana michomo 7 sjui sisi mabingwa wa Ligi hii mara 3 mfululizo tunashinda moja kwa timu zilizopanda daraja aibu hii...
Kwanzia leo mi naacha kutembea kifua mbele naishi kama underdog wallah
Mtambamiza anayefuata....mnacheza na nani next?
 
Back
Top Bottom