FT: KMC 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | Jamhuri Morogoro | 17.02.2024

Hapana ni mali ya cdm
Cdm ndiyo nini?

Anayemiliki huu uwanja ni mzembe na maskini sana, na anapaswa anyang'anywe umiliki wa huu uwanja tupo 2024 kiwanja hakina screen za kufatilia mubashara, hakuna VAR, hakuna viti why mmiliki maskini amiliki asichokiweza?

Likiwanja kama la kufikia nguruwe tu 😂
 
Ongezea na pichi yenye mabonde mabonde
 
Daah!wengine weekend tunelewwa mapema, hatuelewi chochote.
dadeki
 
Kikosi kimekamilika...
Piga 5 haoo
 
Dah Mzize Mungu akupe nini. Yaani nafasi ya wazi kabisa anakosa baada ya kazi nzuri ya Pacome
 
😂😂😂kuna fala anasema uto wanaongoza
 
Huyu kibabage sijawahi kumuelewa kabisa anapoteza pasi muhimu na kupiga pasi mkaa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…