FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

Mitoano ipi?Simba kwa home ground ni sawa nakubaliana na wewe ila kwa away grounds anakulaga makonzi ya nguvu tena season hii kafuzu sababu ya kumfunga vipers away vingenevyo yangekuwa mengine tu
 
Tulivokua o level mm nilikua sna time na shule kabsa lakn mungu akaajalia nikafaulu form 4 vizur na nilkua ba rafk yang tunaish mtaa mmoja yan ilikua yeye na shule shule nayy sasa matokeo yalivyotoka wote tumefaulu jamaa aliumia sana mixer kunichukia na kunisema vbaya

mfano huu ndo nauona kwa mashabik wa smba yan hawatak kabsa yangu kufanikiwa kuingia nusu fainal hata tuchezeje watasema tunacheza vbaya
 
Acha uoga
Kiukweli Rivers United hatuchezi vizuri

Washambuliaji wetu wanakosa nafasi nyingi za wazi, halafu pasi nyingi zinapotea.

Hii Rivers United ni tofauti kabisa na ile niliyokuwa naishangiloa kipindi kile wakati mi mdogo
 
Kiukweli Rivers United hatuchezi vizuri

Washambuliaji wetu wanakosa nafasi nyingi za wazi, halafu pasi nyingi zinapotea.

Hii Rivers United ni tofauti kabisa na ile niliyokuwa naishangiloa kipindi kile wakati mi mdogo
🤣🤣Wamekutana na timu bora sana
 
Mayelle leo hamuoni kabisa Aziz Ki wamekatika Nabi awafunde wanatulet down kwa attempts 6 zilizofanyika tungewin hata 2 tayari before HT
 

Mpaka sasa hajafunga vipi ndoto yake ya kuacha kucheza apo rivers itatimia
 
Timu za shirikisho mbovu sana, utopolo tuliowanyoa ndio wanaonekana bora🫣🫣
 
Yanga mwaka huu ni wenye bahati kubwa maana wanapangwa na matutusa wenzake tu akishindwa kubeba kombe mwaka huu basi itabidi asubiri miaka mia moja ijayo ndiyo bahati kama hii itakapo jirudia tena.
Sasa hao matutusa wamefuzu vipi hadi hatua hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…