Sasa ipi ni busara kuokota nguo ujistiri au kuiacha ili ubakie mtupu?Shughuli ni pale mdogo akikuvua nguo na wewe bila stara kuinama kuiokota 🦍aibu aibu
Tumewaambia wakate huko huko kwenye ile M800Mshalipa ile faini ya kuwasha moto wa uchawi uwanjani?
Sasa ipi ni busara kuokota nguo ujistiri au kuiacha ili ubakie mtupu?
Ni kawaida hiyo, haijalishi ni mara ngapi dogo unamtandika kipigo heavy na watu wanaona
Ila kofi atalokupiga yeye litasahaulisha vile vibano vyoote ambavyo ulikuwa unamtandika.
Hii ni warmup na wala msitegemee 28 kukutana na aina hii ya upinzani sio mimi tu hata wewe hukubaliani na hiyo ndoto
Tueleze na sababu mpole kutowafunga leo?Mayele tumecheza naye mara 3 katufunga mara 1
Na sababu ya kufunga nimeelezea kwenye post namba 119
Wewe, sisi ni wachawi!Hivi Hii Timu Ndo Ya Kutufunga Sisi Tar 28...Kweli Kabisa? [emoji23][emoji23][emoji23]
Tukiongeza zilizobakia 15 na zile za kimataifa basi zinatosha kabisaaa sisi kuwa mabingwa kwa mara ya 5. 😂😂😂Hivi Zimebaki Point Ngapi Simba Tuchukue Ubingwa Wetu Maana Washakata Pumzi Hawa Utopolo [emoji4]
Cha msingi george mpole kafunga baasi
We hujaangalia mechi, hujasikiliza mechi, hujasoma hata update unataka nikujibu nini?Tueleze na sababu mpole kutowafunga leo?
Ukiona hivo ligi imekuwa ngumu zaidi ya zamaniNafananisha hapa kama miaka inavyozidi kusogea namba za magoli zinaongezeka au kupungua
Kulikua na season ambayo kagere alimaliza akiwa na goli 20+
Saizi sioni dalili za kufikia digits hizo
Msimu umekwishaaa hongera Shadeeya kwa ubingwa.Koh koh koh
Na kwani hujaona kwa mara ya kwanza wana yanga wame maindi george mpole kufunga?For the very first time naona shabiki wa Simba anafurahia Mpole kuwafunga. Duuuuiih. This is Tanzania football. Yanga hawana tena press. Wanaweza kuwekeza efforts zao zote kwa Mayele
Kama ligi imekuwa ngumu basi ni dhahiri tumekuwa na timu bora zenye ushindaniUkiona hivo ligi imekuwa ngumu zaidi ya zamani
Wenye maajabu kwenu ndo hawa kina Sakho?Ndo nani huyo? Yule anayeomba asikamiwe na mabeki...!
Huyo hana maajabu yoyote yaani.
Huku kwenye ligi mshakubali? [emoji2]Walete walete hao utopolo. Watalala na viatu siku hiyo.
Sawa tumekubali Yanga Bingwa wa ligi kuu. Lakini Simba ni Bingwa wa Kombe la Azam Shirikisho. Tuonane mwakani tukiwa tumesajili KIKOSI CHA KISASI. Kuteleza si kuanguka. Utopolo mkae sawa, tunakuja kivingine kabisa msimu ujao...
Wenye maajabu kwenu ndo hawa kina Sakho?
Kocha kutoka madrid...