FT: Ligi Kuu Bara: Mtibwa Sugar 0-1 Yanga : Uwanja wa Manungu : 31/12/2013

FT: Ligi Kuu Bara: Mtibwa Sugar 0-1 Yanga : Uwanja wa Manungu : 31/12/2013

Kuna watu walicheza hapa wakasema uwanja mbovu
Uwanja ulikuwa mbovu plus maji mengi kutokana na mvua zilizokuwa zinafululiza kunyesha

Wengine tupo mbali na screen hatuwezi sema chochote ila condition ya uwanja tuliyoikuta kipindi kile sidhani kama inaweza kufanana na hali ambayo ipo sasa
 
Nitawadharau sana Mtibwa kama wasipopata point tatu leo,kama Ihefu waliweza wao wanashindwaje?
 
Back
Top Bottom