ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Kila kipa ataonekana mzembe [emoji16][emoji16][emoji16]Aziz K arudishwe kwao ataua watu
Kwa hilo goli la BXF5678 Imethibitishwa?Aziz K arudishwe kwao ataua watu
Bado takwimu za kibu zinakutia uchungu [emoji16][emoji1787][emoji1787]Imagine upo kwenye tv unasikia mumeo anapiga vigelegele kama mmama. Hawa Utopolo ni vituko
Aziz Ki alimtawanya manula hadi leo wanasimba wamemuwekea beef eti wamemnunia.Aziz K arudishwe kwao ataua watu
Uwanja ulikuwa mbovu plus maji mengi kutokana na mvua zilizokuwa zinafululiza kunyeshaKuna watu walicheza hapa wakasema uwanja mbovu
Ilianza kuthibitishwa alipo tunguliwa Aishi Manula.Kwa hilo goli la BXF5678 Imethibitishwa?
Wale wazee wa kutegemea kadi nyekundu na penati 😃Kuna watu walicheza hapa wakasema uwanja mbovu
Kama lile la manulaKwa hilo goli la BXF5678 Imethibitishwa?
Jichunge mambo ya watu yatakutoa rohoImagine upo kwenye tv unasikia mumeo anapiga vigelegele kama mmama. Hawa Utopolo ni vituko
Unajua jamaa ndoa yake imefeli kisa kigelegele😄😄Imagine upo kwenye tv unasikia mumeo anapiga vigelegele kama mmama. Hawa Utopolo ni vituko
Anza na Tz one MV manulaMakipa wa Tanzania [emoji2369][emoji2369][emoji2369][emoji2369]