FT: Ligi Kuu Bara: Mtibwa Sugar 0-1 Yanga : Uwanja wa Manungu : 31/12/2013

Uwanja ulikuwa mbovu plus maji mengi kutokana na mvua zilizokuwa zinafululiza kunyesha

Wengine tupo mbali na screen hatuwezi sema chochote ila condition ya uwanja tuliyoikuta kipindi kile sidhani kama inaweza kufanana na hali ambayo ipo sasa
Vipi mgunda abaki au aondoke?
Anauliza Mo.
 
Uwanja ulikuwa mbovu plus maji mengi kutokana na mvua zilizokuwa zinafululiza kunyesha

Wengine tupo mbali na screen hatuwezi sema chochote ila condition ya uwanja tuliyoikuta kipindi kile sidhani kama inaweza kufanana na hali ambayo ipo sasa
Uwanja bado mbovu kupindukia
Hauna viwango vya kucheza LIGI KUU
ebu fikilia mashbiki mnakalia mabenchi kama mpo katika vibanda umiza tena mambao mengine yapo juu ya mawe dah yaan mateso
Kama mechi za mchangani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…