FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 1-0 Namungo FC | Stade de Benjamin Mkapa 16/11/2022

Unategemea ushindi wa mabao mangapi mkuu..! Kulingana na performance ya Timu kwenye mechi mbili zilizopita.

Na hasa kukosekana Clatous Chama.
Ushindi wa magoli mawili mkuu japo mechi haitakuwa rahisi.
NGUVU MOJA
 
HASSAN KABUNDA ATAFUNGA LEO
 
Hii Mechi wanakutana mkubwa na mwanae, kama itakavyokuja kuchezwa Yanga na Singida UTD.

Nawatakia mchezo wa kiungwana tu maana mshindi tayari anajulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…