Utopologist
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 998
- 2,506
Hufahamu unachokiongeaNdo shida ya makocha wa kuokota
NamshangaaHufahamu unachokiongea
Kabisa.. kwangu lile goli la Kagere ndilo lilikuwa goli bora la musimu uliyopita.Goal kama hili alifunga Kagere msimu uliopita tena katika dakika kama hizi
Alipiga header ya uaswa wa goti kama hii
Simba 3-0 Dodoma
mfungaji ni Phiri
Huyo mbona anaujua kitambo tu sema hajapata form simba hapoApewe muda huyu kijana
Kwamba Mgunda hajafungwa goli kabisaJuma Mgunda tokea aje Simba Winning rate yake ni 6/6 sawa na 100%.
1) Big Bullets 0-2 Simba[emoji736]
2) TZ Prisons 0-1 Simba[emoji736]
3) Simba 2-0 Big Bullets[emoji736]
4) Simba 1-0 Malindi[emoji736]
5) Simba 3-0 Kipanga[emoji736]
6) Simba 3 - 0 Dodoma Jiji [emoji736]
• Tumepata 6 Cleansheets out of 6 games.
• Timu imefunga Magoli 12 na haijaruhusu goli lolote
Yes toka achukue timuKwamba Mgunda hajafungwa goli kabisa
Au sioSimba 3-0 Dodoma
Okrah goli la kwanza
Nabadili ubao Okrah hayupo,mfungaji ni Phiri
Muda sio mrefu utashangaa wanatuletea mzungu kutoka Serbia, hivi haiwezekani timu ikashikwa na hii combination 1. Mgunda,2. Matola,3. MgosiJuma Mgunda tokea aje Simba Winning rate yake ni 6/6 sawa na 100%.
1) Big Bullets 0-2 Simba[emoji736]
2) TZ Prisons 0-1 Simba[emoji736]
3) Simba 2-0 Big Bullets[emoji736]
4) Simba 1-0 Malindi[emoji736]
5) Simba 3-0 Kipanga[emoji736]
6) Simba 3 - 0 Dodoma Jiji [emoji736]
• Tumepata 6 Cleansheets out of 6 games.
• Timu imefunga Magoli 12 na haijaruhusu goli lolote
Namshangaa