FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 7-1 Tanzania Prisons | Uwanja wa Benjamin Mkapa 30/12/2022

Wanasimba tusijiamini sana kwa dakika hizi za 90 wakati tukisubiria za nyongeza

Maana mpira unadunda lolote linaweza kutokea

Hawa Prisons wanaweza kusawazisha na kuongeza

Wana Yanga ebu tufanye online betting advantage tumpe Prisons
 
Wanasimba tusijiamini sana kwa dakika hizi za 90 wakati tukisubiria za nyongeza

Maana mpira unadunda lolote linaweza kutokea

Hawa Prisons wanaweza kusawazisha na kuongeza

Wana Yanga ebu tufanye online betting advantage tumpe Prisons?
Mpe odd ni mia weka laki upate million 10
 
Zimebaki sekunde za Prisons kusawazisha
 
Na bado wanashangilia eti! 😃😃Yaani wamesahau tabu zao zote wanazopitia.
Ni suala la muda tu makolo watarudi kwenye maumivu yao hawa ni kama gari la mkaa, trip moja shamba likirudi linafikia garage kupigwa spana
 
Hivi PRISON waliahidiwa wakishinda wanapewa milioni 30 au wakishinda ndio wanapewa milioni 30?
 
90+3' Naaam mpira umekwishaaaaaa Wajelajela wapingwa wiki ya Simba Day.

FT: Simba SC 7-1 Tanzania Prisons
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…