FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 7-1 Tanzania Prisons | Uwanja wa Benjamin Mkapa 30/12/2022

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 7-1 Tanzania Prisons | Uwanja wa Benjamin Mkapa 30/12/2022

Wanasimba tusijiamini sana kwa dakika hizi za 90 wakati tukisubiria za nyongeza

Maana mpira unadunda lolote linaweza kutokea

Hawa Prisons wanaweza kusawazisha na kuongeza

Wana Yanga ebu tufanye online betting advantage tumpe Prisons?
Mpe odd ni mia weka laki upate million 10
 
Zimebaki sekunde za Prisons kusawazisha
 
Hivi PRISON waliahidiwa wakishinda wanapewa milioni 30 au wakishinda ndio wanapewa milioni 30?
 
90+3' Naaam mpira umekwishaaaaaa Wajelajela wapingwa wiki ya Simba Day.

FT: Simba SC 7-1 Tanzania Prisons
 
Back
Top Bottom