Diazepam
JF-Expert Member
- Dec 3, 2020
- 1,263
- 3,523
Basi sawa.Hata kama ningeangalia, bado isingebadili huu mtazamo wangu. Maana kuna mechi huyo Inonga alimchezea Sure Boy rafu mbaya, na mwamuzi aliuma filimbi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi sawa.Hata kama ningeangalia, bado isingebadili huu mtazamo wangu. Maana kuna mechi huyo Inonga alimchezea Sure Boy rafu mbaya, na mwamuzi aliuma filimbi.
Mpe odd ni mia weka laki upate million 10Wanasimba tusijiamini sana kwa dakika hizi za 90 wakati tukisubiria za nyongeza
Maana mpira unadunda lolote linaweza kutokea
Hawa Prisons wanaweza kusawazisha na kuongeza
Wana Yanga ebu tufanye online betting advantage tumpe Prisons?
Labda liwe ajabu la nane la duniaWanasimba tusijiamini sana kwa dakika hizi za 90 wakati tukisubiria za nyongeza
Maana mpira unadunda lolote linaweza kutokea
Hawa Prisons wanaweza kusawazisha na kuongeza
Wana Yanga ebu tufanye online betting advantage tumpe Prisons?
Mbele ya wapi tena! Nyinyi washindani wenu ni azam! Kubusu ubingwa, ni bora mkajiandaa tu kisaikolojia.Zina faida huko mbele, wewe tulia kwanza.
Ni suala la muda tu makolo watarudi kwenye maumivu yao hawa ni kama gari la mkaa, trip moja shamba likirudi linafikia garage kupigwa spanaNa bado wanashangilia eti! 😃😃Yaani wamesahau tabu zao zote wanazopitia.
Tushakwambia subiri mbona una haraka bwasheeeHakuna kufungana point msimu huu
Nilisema kabla ya mpira ushindi mnonoUSHINDI MNONO KULIKO WA GEITA
Zitawasaidia kupata nafas ya pili maana mshindani wako Azam mnakimbizana pointTushakwambia subiri mbona una haraka bwasheee