Mnatesekaaa mnooo hahahhh mpo juu ya meza huku mnachungulia kwa tahadhari msije jikuta mmeangukaBao mbili alafu wapo juu ya meza
Baada ya kuinunua mechiKwangu mimi hii ni mechi moja nzuri ambayo nimeshuhudia Simba wakicheza kwa Quality ya juu kuliko mechi nyingine zote tangu msimu umeanza
Yaani mnacheza na timu yenye wachezaji pungufu uwanjani! Mnawafunga kwa wepesi, halafu unapata kabisa ujasiri wa kuisifia!!Kwangu mimi hii ni mechi moja nzuri ambayo nimeshuhudia Simba wakicheza kwa Quality ya juu kuliko mechi nyingine zote tangu msimu umeanza
Yanga wapo hewani wanawachungulia lakini hamuonekaniMnatesekaaa mnooo hahahhh mpo juu ya meza huku mnachungulia kwa tahadhari msije jikuta mmeanguka
Wanafosi maupinde yao yaliyojaa kwny timu yao iwe ndo Simba...mauchafu chafu yao wanataka kuyahamishia kwa wekundu hahaha maupinde ni wao wanajulikanaYanga ndio timu inayoongoza kutoa watu wa hovyo kuanzia mashabiki, wachezaji na mpaka kwa viongozi
Swala la upinde limekujaje hapa?
Huwa najitahidi sana kuepuka mijadala ya matusi kwa kutumia lugha ya staha nikifikiria kwamba mtu anayenitukana lazima awe amekasirishwa na matusi niliyomuandikia.
Lakini hiyo imekuwa ni tofauti kwa baadhi ya mashabiki wa Yanga ukiwemo wewe.
Ubingwa hata ukikosekana hauzuii kuburudika. Ikitokea mechi ya mwisho ikawa simba na yanga, yanga mkafungwa za kutosha na ubingwa mkaubeba unadhani mtapata burudani pamoja na kuubeba ubingwa?Burudani ya muda ina faida gani kwenu! Maana mwisho wa siku bingwa anajulikana.
Si nyie ndio mlisema hela ya Bus hatunaBaada ya kuinunua mechi
Niletee msimamo wa ligi baada ya mechi ya leoTukuletee tissue ufute machozi?
Tupo tunawazooom tuuu hahhahYanga wapo hewani wanawachungulia lakini hamuonekani
Ndio burudani ya soka, yanga ikipata ubingwa si unafurahi tu, au kuna kinachoongezeka kwenye account yako ya tigo pesa?!Burudani ya muda ina faida gani kwenu! Maana mwisho wa siku bingwa anajulikana.
Unaweza ukawa huna hela ya kununua gari ila ukawa na hela ya kulipa nauliSi nyie ndio mlisema hela ya Bus hatuna
Sasa hiyo ya kuhongea tunaiipatia wapi?
Wakati huo ukumbuke kulikuwa na penati 2 za wazi tumenyimwa. Inawezekana vipi timu iliyonunua mechi ikanyimwa clear penati?
Kwa hiyo unalia hutaki tissue?πππNiletee msimamo wa ligi baada ya mechi ya leo
Hakuna kitu kizuri kama kumuona Utopolo akicomment huku kajawa makasiriko kiasi hiki.Huwa inanipa furaha na amani tele.Hata washinde goli 100! Wasahau kuongoza ligi, au kuchukua ubingwa kwa miaka 10 mfululizo.
Huu ni mwaka wa 2 tu. Bado miaka mingine 8 ya maumivu. Watabadilisha makocha wote, lakini haitasaidia kitu. Wataambulia tu furaha ya muda mfupi.
Leta msimamo wa ligi kwanzaKwa hiyo unalia hutaki tissue?πππ
Tukupe tissue ufute machozi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]