FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 7-1 Tanzania Prisons | Uwanja wa Benjamin Mkapa 30/12/2022

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 7-1 Tanzania Prisons | Uwanja wa Benjamin Mkapa 30/12/2022

Kwangu mimi hii ni mechi moja nzuri ambayo nimeshuhudia Simba wakicheza kwa Quality ya juu kuliko mechi nyingine zote tangu msimu umeanza
Yaani mnacheza na timu yenye wachezaji pungufu uwanjani! Mnawafunga kwa wepesi, halafu unapata kabisa ujasiri wa kuisifia!!
 
Yanga ndio timu inayoongoza kutoa watu wa hovyo kuanzia mashabiki, wachezaji na mpaka kwa viongozi

Swala la upinde limekujaje hapa?

Huwa najitahidi sana kuepuka mijadala ya matusi kwa kutumia lugha ya staha nikifikiria kwamba mtu anayenitukana lazima awe amekasirishwa na matusi niliyomuandikia.

Lakini hiyo imekuwa ni tofauti kwa baadhi ya mashabiki wa Yanga ukiwemo wewe.
Wanafosi maupinde yao yaliyojaa kwny timu yao iwe ndo Simba...mauchafu chafu yao wanataka kuyahamishia kwa wekundu hahaha maupinde ni wao wanajulikana
 
Si nyie ndio mlisema hela ya Bus hatuna

Sasa hiyo ya kuhongea tunaiipatia wapi?

Wakati huo ukumbuke kulikuwa na penati 2 za wazi tumenyimwa. Inawezekana vipi timu iliyonunua mechi ikanyimwa clear penati?
Unaweza ukawa huna hela ya kununua gari ila ukawa na hela ya kulipa nauli
 
Hata washinde goli 100! Wasahau kuongoza ligi, au kuchukua ubingwa kwa miaka 10 mfululizo.

Huu ni mwaka wa 2 tu. Bado miaka mingine 8 ya maumivu. Watabadilisha makocha wote, lakini haitasaidia kitu. Wataambulia tu furaha ya muda mfupi.
Hakuna kitu kizuri kama kumuona Utopolo akicomment huku kajawa makasiriko kiasi hiki.Huwa inanipa furaha na amani tele.
 
Hongereni kwa ushindi,ila hutasikia shabiki wa Yanga anazungumzia bahasha ila mngekuwa nyinyi sasa mngeongea mpaka njaa ziwaume.

NB.Hata mshinde 10 mtaendelea kupambana na Azam nafasi ya 2
 
Back
Top Bottom