FT: Ligi Kuu Tanzania Bara: Yanga 1- 0 Geita Gold

FT: Ligi Kuu Tanzania Bara: Yanga 1- 0 Geita Gold

Kuna timu imefanikiwa kuongoza ligi kwa masaa machache tu kabla ya kutupwa nafasi ya ngapi sijui huko mara baada tu ya mchezo huu na ule wa Polisi Tanzania kumalizika.
 
Yanga anapga mpira sema ni Kwa DK 60 Tu baada ya apo anaonesha kachoka mnoo asee
 
Mkuu, Nimeichukua kauli mbiu ya TIMU kama ilivyo kwa KIMALKIA.

Mimi si mweledi wa lugha iwayo yoyote kati ya KISWAHILI au KIINGEREZA.

Huenda "NEVER" ikatumika kama "KAMWE" au kama kiashiria msisitizo cha "ONYO AU KATAZO" Na wakati mwingine likatumika kama "MWIKO" yaani "TABOO" na kwa upana wa lugha na ukuaji wake pengine ziko tafsiri zaidi ya makumi kwa neno "NEVER" mimi sifahamu.

Samahani, Mkuu wangu!
Sina ufahamu wowote katika LUGHA hizo mbili.
Naomba unichukulie poa.
Wengine vichwa vimejaa nyagi wanakuchokoza tu na wewe unajaa.
 
Imefungwa? Imezidiwa?

Ukute hata mpira hutazami...
Suala sio kufungwa,, timu inacheza kama tulivyoaminishwa na viongozi/wachambuzi uchwara?,, kwa pira hili la leo we umeona kuna tofauti gani kati ya yanga hii inayopambwa na gazeti la mwananchi na friends rangers ya kagera mikoroshini
 
Back
Top Bottom