3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,259
- 7,015
Kigoma au wapi?Nyie tuliwapiga ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kigoma au wapi?Nyie tuliwapiga ngapi?
Unarudisha ukiwa wapi?Bado muda mwingi tuna rudisha mbona chap tu
Mbona kawaida tu msimu ulioisha muda kama huu mnaongoza ila mwisho wa msimu bingwa ni mume wenu simbaKuna timu imefanikiwa kuongoza ligi kwa masaa machache tu kabla ya kutupwa nafasi ya ngapi sijui huko mara baada tu ya mchezo huu kumalizika.
umedata siyo?Naona hata ukilala unamuota,kwanza wewe Me au Ke?nataka nikusaidie
Nimekukubari mkuu,timu zetu hizi ni majanga.Hii ya leo sasa ndio yanga ila iliyocheza na simba ilikuwa booted na mganga
Yanga mpo vizuri bwana..
Wengine vichwa vimejaa nyagi wanakuchokoza tu na wewe unajaa.Mkuu, Nimeichukua kauli mbiu ya TIMU kama ilivyo kwa KIMALKIA.
Mimi si mweledi wa lugha iwayo yoyote kati ya KISWAHILI au KIINGEREZA.
Huenda "NEVER" ikatumika kama "KAMWE" au kama kiashiria msisitizo cha "ONYO AU KATAZO" Na wakati mwingine likatumika kama "MWIKO" yaani "TABOO" na kwa upana wa lugha na ukuaji wake pengine ziko tafsiri zaidi ya makumi kwa neno "NEVER" mimi sifahamu.
Samahani, Mkuu wangu!
Sina ufahamu wowote katika LUGHA hizo mbili.
Naomba unichukulie poa.
Imefungwa? Imezidiwa?Hii ya leo sasa ndio yanga ila iliyocheza na simba ilikuwa booted na mganga
Hakuna timu yenye safari fupi.Ila Yanga bado tuna safari ndefu kiukweli.
Jana mlishinda ngapi?Utopolo hamna timu hapo
Ngoma ipi ngumu??Wakija hapa nyuma ya keyboard wana confidence kinoma..ila mioyoni mwao wanajua ngoma ngumu..
Imefungwa? Imezidiwa?
Ukute hata mpira hutazami...
Mkuu nitakucheki kwenye ile namba yako inayoishia na ..123Ngoma ipi ngumu??
Kwa kiwango cha timu yako hiki [emoji1787][emoji1787][emoji1787] mmmhhhmmmmmmmmm hamna maajabu ni kile kile cha miaka 4 iliyopita hakuna maajabuUnarudisha ukiwa wapi?
Suala sio kufungwa,, timu inacheza kama tulivyoaminishwa na viongozi/wachambuzi uchwara?,, kwa pira hili la leo we umeona kuna tofauti gani kati ya yanga hii inayopambwa na gazeti la mwananchi na friends rangers ya kagera mikoroshiniImefungwa? Imezidiwa?
Ukute hata mpira hutazami...
Kama Mugalukapaisha kama kawaida yake?
Wapo busy kushadadia simba, ameuza miq na chama...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata wao wenyewe ukiwaambia watajua unawakejeli