MubengaJr
Senior Member
- Oct 14, 2022
- 151
- 336
Yanga wanatumia uchawi wa Bumbuwazi mkuu, wachezaji wa timu pinzani wanakuwa hawajitambui vizuri.Hivi inakuwaje tmu zote za hapa nchini zikicheza na Yanga zinakaa nyuma ya mpila ila zikicheza na Simba zinafunguka?? Ina maana huwa haziihofii Simba?