Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Utani wa hapa napale hauepukiki kutokana na muonekano wake,ila ona back four ya Simba inavyoyumba kukosekana kwa OnyangoYa Mpole yatajirudia mwaka huu, Onyango naye mnamuita mzee ila kiroho mnamhitaji
Tutajadili hilo tukipata points 3 baadayeUtopolo mnatuchanga, mara mseme Msonda sawa na Makambo, mara mseme sawa na Juma Balinya. Sasa tuchukue lipi
Hapa tupo na YangaUtani wa hapa napale hauepukiki kutokana na muonekano wake,ila ona back four ya Simba inavyoyumba kukosekana kwa Onyango
Tutakusanya pia kwa MakoloUtopolo Ni dhaifu mno. Wanakisanya points kwa kubahatisha bahatisha tu.
Hawa jamaa tuliwabugiza 4-0... tena wakiwa na Kocha mwanachama wa Uto
Mpira haufananishwi hivyo mkuu,utapotea.....sisi tulimfunga Azam ila Azam akakupasua wewe na timu lako bovuUtopolo Ni dhaifu mno. Wanakisanya points kwa kubahatisha bahatisha tu.
Hawa jamaa tuliwabugiza 4-0... tena wakiwa na Kocha mwanachama wa Uto
Huyu Msonda tumebaini ni mdau wa TBC taifa aliyekuwa anapiga simu sana kwenye kipindi cha Djaro ArunguUtopolo mnatuchanga, mara mseme Msonda sawa na Makambo, mara mseme sawa na Juma Balinya. Sasa tuchukue lipi
Team yako ambayo sio dhaifu na haibahatishi, imewazidi Yanga point ngapi?Utopolo Ni dhaifu mno. Wanakisanya points kwa kubahatisha bahatisha tu.
Hawa jamaa tuliwabugiza 4-0... tena wakiwa na Kocha mwanachama wa Uto
Nani kafunga?Kuna timu shirikisho itatiwa aibu Muda ni mwalimu mzuri.
Usitukane mamba wakati hujavuka mtoKuna timu shirikisho itatiwa aibu Muda ni mwalimu mzuri.
Mbumbumbu ili uelewe lazima upewe mifano ya timu yako ndiyo unaelewa vizuri zaidiHapa tupo na Yanga
Mkuu unapiga ramli umejuaje ni timu yako.Usitukane mamba wakati hujavuka mto
Kwani mi nimetaja timu hapo?Mkuu unapiga ramli umejuaje ni timu yako.
Kiwango cha timu bossNani kafunga?
Yule yule wa mwanzo?Kiwango cha timu boss