Huyo K nae hadi akosee ndo abahatishe...Azizi Ki sasa anaingia
Mzize anatoka
Sahihi kabisa. Hapa umeongea kama Guardiola Mnene. 👍Sema kuna siku mchezaji anakupa furaha kuna siku ana kudis appoint...
Kuumia kwa Waziri wa maji kumetuletea pengo kubwa sana ule upande wa kushoto.Kibabage poor you..
Dah!Musonda anapoteza nafasi
Bora hata wamjaribu FaridKuumia kwa Waziri wa maji kumetuletea pengo kubwa sana ule upande wa kushoto.