FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

Hizi wings za madeama zimewa expose sana mabeki wetu tunaowategemea kwenye AFCON jinsi gani Bado ni amateur kwenye big stage. Huwa tunawaona ni mabeki visiki wakikutana na washambuliaji wa Dodoma jiji au Kagera sugar.
 
Back
Top Bottom