FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

Kusema kweli, inabidi niwapongeze Yanga!! Walivyonusurioka dakika 30 za kwanza!! Ila pamoja na pongezi, mkia unawahusu!!
 
njia nyeupe vipi hapo bado
Yanga kwenye mechi zilizosalia ana uhakika wa points 4 tu which makes 6 points in total....Belouzidad hawezi kumuacha Medeama Uarabuni maana yake atakuwa na saba, Al Ahly usimuweke hapo, anacheza kwenye dunia yake mwenyewe
 
Sema yanga, acha kuijumuisha Afrika kwenye ujinga wenu.
Medeama nao wamepata nafasi kama ile na wameshindwa kuitumia.

Ujinga wetu upi?
Unadhani kila member humu ndani anashabikia na kufuatilia kiundani mpira wa Tanzania.

Kama si canal+ kuonyesha hizi mechi za CAF wala nisingeliinua mguu wangu kwa lengo la kutafuta king'amuzi cha AZAM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…