FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

Kusema kweli, inabidi niwapongeze Yanga!! Walivyonusurioka dakika 30 za kwanza!! Ila pamoja na pongezi, mkia unawahusu!!
 
Sema yanga, acha kuijumuisha Afrika kwenye ujinga wenu.
Medeama nao wamepata nafasi kama ile na wameshindwa kuitumia.

Ujinga wetu upi?
Unadhani kila member humu ndani anashabikia na kufuatilia kiundani mpira wa Tanzania.

Kama si canal+ kuonyesha hizi mechi za CAF wala nisingeliinua mguu wangu kwa lengo la kutafuta king'amuzi cha AZAM
 
Back
Top Bottom