Umeelezea vyema sana mkuu, sisi waafrica kifupi ni matapeli ila mdogo mdogo tutafikaNchi nyingi za kusini mwa jangwa la Sahara na hasa huko Africa magaribi watu wengi Huwa hawana passion kabisa na Soka la Africa pamoja na vipaji lukuki walivyonavyo ...na ndio maana unaona viwanja vyao viko tupu hivi...
Hahaaa mtanii haya tutakuona kesho pia utakavyofungwa 5 tena ππNjoo hapa na buku 10 langu π€£π€£π, hatimaye nimeshinda Bet
Kundi sio gumu kivile ni hivyo tu ya uchanga wa ndugu zetu kwenye hizi level za Club BingwaYanga mwaka huu kutoboa itakuwa ngumu aisee maana sioni ushindi Kwa mechi 2 zijazo maana hili kundi linaonekana ni gumu.
umeona sasa mawazo yako, point 4 ni mawazo yako ila anaweza chukua 6 ama pungufuYanga kwenye mechi zilizosalia ana uhakika wa points 4 tu which makes 6 points in total....Belouzidad hawezi kumuacha Medeama Uarabuni maana yake atakuwa na saba, Al Ahly usimuweke hapo, anacheza kwenye dunia yake mwenyewe
Kwa ufupi tu ni kwamba, msimamo wa kundi jinsi ulivyo hivi sasa ndivyo utakavyokuwa mpaka hatua ya makundi inamalizika.ngumu ila itatoboa
Yanga haiendi popote...Yanga kwenye mechi zilizosalia ana uhakika wa points 4 tu which makes 6 points in total....Belouzidad hawezi kumuacha Medeama Uarabuni maana yake atakuwa na saba, Al Ahly usimuweke hapo, anacheza kwenye dunia yake mwenyewe
CAFCL ni muziki mnene kwa Uto hawauwezi, watuachie wana lunyasi sie tunauwezaHongereni kwa kushiriki! Kule Misri mnaenda kubakizwa hapo hapo na pointi hizo hizo 2 wakati mechi zikizidi kuyoyoma! Mechi 3 point 2???
Huu ni msiba wa kichina bana sikuelewi hata unaliajeNarudia tena
Hujui mpira kaka
Wewe unajua matokeo
hayo n mawazo yako kama ulivyo amini ikinyesha mvua una shida ukala mkonoKwa ufupi tu ni kwamba, msimamo wa kundi jinsi ulivyo hivi sasa ndivyo utakavyokuwa mpaka hatua ya makundi inamalizika.
Kama Kuna mabadiliko, basi yatatokea kwenye nafasi ya tatu na ya nne lakini Zile nafasi mbili za juu zitabaki kama zilivyo!
Kwamba wa asalie jangwani Hadi awe mzeeBacca aongezwe mkataba wa kudumu Yanga, ule wa mpaka 2027 hautoshi!
kweli mkuu ndo maana hata mwaka jana na juz mkacheza fainalCAFCL ni muziki mnene kwa Uto hawauwezi, watuachie wana lunyasi sie tunauweza
Punguza mdomo wewe, kesho ndio mtaongea vizuri.Hii ni Champion League na siyo confederation.
Unakumbuka msuli wa beka wa kizanzibar? Hakusaidia
Hata Algeria mlisema hivyo hivyo mkafa 3-0.
Lolote linaweza kutokeaila bado ana nafas ya kufuzu japo yuko mkiani
Ni watoto hao hapo CAFCL hawaendi popote πYanga haiendi popote...
YesKwamba wa asalie jangwani Hadi awe mzee
Ni kundi pekee lililokutanisha mabingwa watupu wa Misri, Algeria, Tanzania na Ghana. Hakuna mshindi wa pili hapo...Bado Wananchi wanaweza kutoboa. Hili ndiyo group gumu kuliko yote.
nathikia uto kilichowaponza za chini ya kapet ni kupenda kwao supu ya mkiaBado upo mkiani na 5 zako Uto wahed π
Na mtabaki hapo hadi mwisho ππ
Yanga Haina mshambuliaji wa mwisho so hakuna mabadiliko yeyote na mechi ni wiki ijayo.Kundi sio gumu kivile ni hivyo tu ya uchanga wa ndugu zetu kwenye hizi level za Club Bingwa
Kwasababu nilikua nahesabu point 6 kwa huyu Medeama na hili nililiona linawezekana kabisa.
Sikuiona Medeama kama timu ambayo itakuwa na usumbufu wowote kwa Gongowazi, eneo la mwisho kwa Yanga bado lina shida.
Mechi mbili za nyumbani kwa uhakika kabisa namuona akishinda moja ila hiyo na Cr Belarouzidad kidogo naingia wasi maana kwa jinsi walivyo mkomalia Al Ahly leo tena kule Cairo naingia woga
Tuliza moyo kunywa maji..kweli mkuu ndo maana hata mwaka jana na juz mkacheza fainal
dear Kalpana, kesho nitakusalimia vyema mpendwa wangu..!!πYanga haiendi popote...