FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

Nchi nyingi za kusini mwa jangwa la Sahara na hasa huko Africa magaribi watu wengi Huwa hawana passion kabisa na Soka la Africa pamoja na vipaji lukuki walivyonavyo ...na ndio maana unaona viwanja vyao viko tupu hivi...
Umeelezea vyema sana mkuu, sisi waafrica kifupi ni matapeli ila mdogo mdogo tutafika
 
Yanga mwaka huu kutoboa itakuwa ngumu aisee maana sioni ushindi Kwa mechi 2 zijazo maana hili kundi linaonekana ni gumu.
Kundi sio gumu kivile ni hivyo tu ya uchanga wa ndugu zetu kwenye hizi level za Club Bingwa

Kwasababu nilikua nahesabu point 6 kwa huyu Medeama na hili nililiona linawezekana kabisa.

Sikuiona Medeama kama timu ambayo itakuwa na usumbufu wowote kwa Gongowazi, eneo la mwisho kwa Yanga bado lina shida.

Mechi mbili za nyumbani kwa uhakika kabisa namuona akishinda moja ila hiyo na Cr Belarouzidad kidogo naingia wasi maana kwa jinsi walivyo mkomalia Al Ahly leo tena kule Cairo naingia woga
 
Yanga kwenye mechi zilizosalia ana uhakika wa points 4 tu which makes 6 points in total....Belouzidad hawezi kumuacha Medeama Uarabuni maana yake atakuwa na saba, Al Ahly usimuweke hapo, anacheza kwenye dunia yake mwenyewe
umeona sasa mawazo yako, point 4 ni mawazo yako ila anaweza chukua 6 ama pungufu

pia cr anaweza draw na medeama yote yanawezekana
 
ngumu ila itatoboa
Kwa ufupi tu ni kwamba, msimamo wa kundi jinsi ulivyo hivi sasa ndivyo utakavyokuwa mpaka hatua ya makundi inamalizika.

Kama Kuna mabadiliko, basi yatatokea kwenye nafasi ya tatu na ya nne lakini Zile nafasi mbili za juu zitabaki kama zilivyo!
 
hayo n mawazo yako kama ulivyo amini ikinyesha mvua una shida ukala mkono
 
Kundi sio gumu kivile ni hivyo tu ya uchanga wa ndugu zetu kwenye hizi level za Club Bingwa

Kwasababu nilikua nahesabu point 6 kwa huyu Medeama na hili nililiona linawezekana kabisa.

Sikuiona Medeama kama timu ambayo itakuwa na usumbufu wowote kwa Gongowazi, eneo la mwisho kwa Yanga bado lina shida.

Mechi mbili za nyumbani kwa uhakika kabisa namuona akishinda moja ila hiyo na Cr Belarouzidad kidogo naingia wasi maana kwa jinsi walivyo mkomalia Al Ahly leo tena kule Cairo naingia woga
Yanga Haina mshambuliaji wa mwisho so hakuna mabadiliko yeyote na mechi ni wiki ijayo.

Kundi ni gumu hakuna timu ya mzaha.Kama unaogopa CR basi ilipigwa na Madeama
 
Back
Top Bottom