FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

Nakupenda mtani...
Kesho hunioni humu na vile mechi saa nne nikiona mambo yameenda mrama hunioniiiiiii
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nakupenda pia dear, nitakutafuta mpaka msimu wa sikukuu hutoamini walaqhi'..!!
 
Sasa tuka pumzike tumsubiri mwali wa Mwarabu kesho .Mwarabu kapania
Sawa kumbuka Al Ahly naye anasubiria mwali wake Misri ajipigie.
Hivi ana hasira, sidhani kama mtabaki salama na mpira wenu wa kukimbia kimbia kama mnacheza ligi ya bongo.
  • Tanzania unafunga timu mpk 5-1 ila Champion ukachezea 3-0.
  • Umechukua makombe mara nyingi kuliko Simba ila kuingia makundi ya champion league umetumia miaka 25. Inasikitisha
  • Kama umeifunga Simba magoli 5 umeweka mpk picha mnajipiga sasa ingekuwaje kama mgeifunga Al Ahly 5-1? Ingekuwa mapumziko na kufanya sherehe wiki nzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…