FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

Huyu refa ni 🚮 ya mwisho kabisa. Hii faulo aliyofanyiwa Kibabage ilistahili kabisa kadi nyekundu.

All in all, kwenye dirisha dogo, viongozi wasajili mshambuliaji. Hawa akina Mzize bado wana vitu vingi vya kujifunza.

Pacome Zouzoua, ni mchezaji wa sayari nyingine. Maana haya magoli yake yanastaajabisha kwa kweli.
 
Huyu refa ni 🚮 ya mwisho kabisa. Hii faulo aliyofanyiwa Kibabage ilistahili kabisa kadi nyekundu.

All in all, kwenye dirisha dogo, viongozi wasajili mshambuliaji. Hawa akina Mzize bado wana vitu vingi vya kujifunza.

Pacome Zouzoua, ni mchezaji wa sayari nyingine. Maana haya magoli yake yanastaajabisha.
Agreed...
 
Utopolo asipo shinda hii hatoshinda yoyote tena
 
Back
Top Bottom