Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kipa kadakaHii freekick ni eneo zuri sana kwa Gongowazi
Naweza sema ni karata yao ya mwisho kwa dakika nne hizi za nyongeza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipa kadakaHii freekick ni eneo zuri sana kwa Gongowazi
Naweza sema ni karata yao ya mwisho kwa dakika nne hizi za nyongeza
Wacha weendani ya dk 5 za nyongeza mwananchi atapata goli
Hilo uhakikaUwepo hapa full time basi
Dakika zimeisha wanacheza za nyingezaBado wana dakika, wanaweza kufanya maajabu
Yanga mwaka huu kutoboa itakuwa ngumu aisee maana sioni ushindi Kwa mechi 2 zijazo maana hili kundi linaonekana ni gumu.Afu amuweke nani?
bado nafasi ipoKundi linasimamaje hapa, au ndugu zetu wajikite tu NBC??
Hivi unawaona hawa Medeama ni timu kabisa ya kuihofia?
Wanahitaji kushinda mechi zao za nyumbaniKundi linasimamaje hapa, au ndugu zetu wajikite tu NBC??
Kila mmoja ana nafasi, wacha maneno manenoKundi linasimamaje hapa, au ndugu zetu wajikite tu NBC??
ngumu ila itatoboaYanga mwaka huu kutoboa itakuwa ngumu aisee maana sioni ushindi Kwa mechi 2 zijazo maana hili kundi linaonekana ni gumu.