Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Good guess...ndani ya dk 5 za nyongeza mwananchi atapata goli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Good guess...ndani ya dk 5 za nyongeza mwananchi atapata goli
Kudraw kwa Al ahly leo ni mzigo kwa Yanga.bado nafasi ipo
al ahly ka draw pia
Utaniambia, zimeongezwa 4 ila itachezwa mpaka dk 95 na hapo mwananchi ataibuka shujaaWacha wee
Al ahly kudraw means njia ni nyeupe kwa waarabu wawili kuvuka kundibado nafasi ipo
al ahly ka draw pia
hakuna mzg, wote wanabaki na nafasi ya kufuzuKudraw kwa Al ahly leo ni mzigo kwa Yanga.
Sasa tuka pumzike tumsubiri mwali wa Mwarabu kesho .Mwarabu kapania
KabsaaI wish angeingia na Mudathir ili mpira uchangamke zaidi. Hawa watoto wanafungika kabisa.
njia nyeupe vipi hapo badoAl ahly kudraw means njia ni nyeupe kwa waarabu wawili kuvuka kundi
Na kweli mashujaaUtaniambia, zimeongezwa 4 ila itachezwa mpaka dk 95 na hapo mwananchi ataibuka shujaa
Samahani mkuu, wewe ni wa kiume..?Yame droooo
Mpfyuuuuuuuuuuuu Mpfyuuuuuuuuuuuu Mpfyuuuuuuuuuuuu Mpfyuuuuuuuuuuuu Mpfyuuuuuuuuuuuu zao