FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

Unadhani mpira wa Sasa Kuna habari za mechi ya nyumbani? Uko mkiani unasema kutoboa?

Saikolojia ya washindani wako ni kwamba wewe ndio unaonekana kibonde na underdog so wanakukomalia.
izo saikolojia za mo arena
city na ubabe wake ana kandwa na timu zinazo buruza mkia
 
Ila Madeama haina hata wakaka wazuri sijapenda kabisa, kuna team zina wachezaji wazuri umefungwa unaumia lakini unaendelea kutazama zile 'vifaa' kwa kupunguza machungu..!!😌
 
Sawa kumbuka Al Ahly naye anasubiria mwali wake Misri ajipigie.
Hivi ana hasira, sidhani kama mtabaki salama na mpira wenu wa kukimbia kimbia kama mnacheza ligi ya bongo.
  • Tanzania unafunga timu mpk 5-1 ila Champion ukachezea 3-0.
  • Umechukua makombe mara nyingi kuliko Simba ila kuingia makundi ya champion league umetumia miaka 25. Inasikitisha
  • Kama umeifunga Simba magoli 5 umeweka mpk picha mnajipiga sasa ingekuwaje kama mgeifunga Al Ahly 5-1? Ingekuwa mapumziko na kufanya sherehe wiki nzima.
CC: wanasupu fc wote
 
Yanga kwenye mechi zilizosalia ana uhakika wa points 4 tu which makes 6 points in total....Belouzidad hawezi kumuacha Medeama Uarabuni maana yake atakuwa na saba, Al Ahly usimuweke hapo, anacheza kwenye dunia yake mwenyewe
Safarii hi waafriac wawili tunPetA
 
Liarabu hili refa ni lipuuzi. Ndio maana Wayahudi wanayagonga pale Gaza. Ukiuliza Max kapewa Kadi kwa Kosa gani? Jamaa limeinua Kiatu kabisa na pia dhamira yake ilikuwa kuumiza ila refa kanyamaza.
Haha kweli hata lile goli la 2 ni goli halali. Hakukua na offside. Poleni utopwinho nafasi ya mkia iliwapenda zaidi.
 
Back
Top Bottom