Kipindi hicho Yanga alikuwa wapi?
Unapokuja kuzungumzia shirikisho yenu ya medali, Simba hakucheza shirikisho.πππ
Ni sawa na wanafunzi wawili, mwaka 2022 walifanya mtihani wa darasa la 4 kuingia darasa la 5. Mmoja akafaulu na mwingine akafeli. 2023, Mmoja aliyeingia darasa 5 (Simba) akafanya mtihani akawa wa 4 na aliyebaki darasa la 4 (Yanga) akafanya mtihani akawa wa 2, sasa wa darasa la 4 aliyefeli kuingia darasa la 5, anamtambia wa darasa la 5 kuwa yeye amekuwa pili na kipindi hicho alisoma darasa la 4 hakuwahi kuwa wa 2 darasa la 4).
Ndicho unachozungumzia