FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

Afadhali wametolewa wote maana angepita ..... Kusingetosha humu..😂😂😂

Shadeeya Carleen Tate Mkuu Bantu Lady Scars Kalpana
Ndiyo tutolewe kwa zengwe la aina ile! Yaani faulo ya Lomalisa, refa ameitwa kwenda kujiridhisha! Halafu goli lenye utata, watu wa VAR na refa wao wakaona wapuuze tu!!

This is not fair at all. Today am so angry. ☹️
 
Niliacha kushabikia mpira siku VAR imeanzishwa kwasababu ilikua rasmi inaubadilisha mpira kutoka kua mchezo na kua video game.

Lile lingekua goli bora la mashindano bila ubishi.

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Ndiyo tutolewe kwa zengwe la aina ile! Yaani faulo ya Lomalisa, refa ameitwa kwenda kujiridhisha! Halafu goli lenye utata, watu wa VAR na refa wao wakaona wapuuze tu!!

This is not fair at all. Today am so angry. ☹️
Mkae kwa kutulia kidogo tuko kwny kikao na kina Motsepe tunawajadili...mechi irudiwe nchi yoyote kati ya Somalia au Congo kivu ya kaskazini...
 
We utamuweza udugu wangu lakini?? Ana mkanda wa boxing shauri yako 🤣🤣🤣

Nakuuliza pm ni issue private, pm iko wazi??
Aniwezi ata awe na mkanda wa jeshi (both OG na lile gonjwa) 😂

Itakuwa wazi for 30 minutes saa 4 nafunga. Jali muda jirani 😂
 
🤣🤣🤣🤣 hivi na wewe unafunga piem ya nini na huna hata wa kukupenda jirani?? Mbona una visa sana ww!!!
 
Ndiyo tutolewe kwa zengwe la aina ile! Yaani faulo ya Lomalisa, refa ameitwa kwenda kujiridhisha! Halafu goli lenye utata, watu wa VAR na refa wao wakaona wapuuze tu!!

This is not fair at all. Today am so angry. ☹️
Huu mpira haujaisha bado,mpaka CAF wajinyee
 
🤣🤣🤣🤣 hivi na wewe unafunga piem ya nini na huna hata wa kukupenda jirani?? Mbona una visa sana ww!!!
😂 nna sababu zangu za msingi sana, ikifika saa 4 naifunga.

Sina hata wa kunipenda kivip, sijakuelewa
 
Uto au makolo ndio mmevurugwa??
Yanga kutolewa imewafichia aibu maana kila mtu huzungumzia mechi ya yanga kias simba kusahaulika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] endelea kutesekaaa, poleeee.
Utazoea tyuuh
 
Back
Top Bottom