Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Jirani una mikwara 🤣🤣🤣Ntampiga na navyopiga vibaya 😂
Halafu kuna kitu nataka kukuuliza jirani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jirani una mikwara 🤣🤣🤣Ntampiga na navyopiga vibaya 😂
Ndiyo tutolewe kwa zengwe la aina ile! Yaani faulo ya Lomalisa, refa ameitwa kwenda kujiridhisha! Halafu goli lenye utata, watu wa VAR na refa wao wakaona wapuuze tu!!
Sio mikwara, mi nagonga vitasa vibaya mno.Jirani una mikwara 🤣🤣🤣
Halafu kuna kitu nataka kukuuliza jirani
Mkae kwa kutulia kidogo tuko kwny kikao na kina Motsepe tunawajadili...mechi irudiwe nchi yoyote kati ya Somalia au Congo kivu ya kaskazini...Ndiyo tutolewe kwa zengwe la aina ile! Yaani faulo ya Lomalisa, refa ameitwa kwenda kujiridhisha! Halafu goli lenye utata, watu wa VAR na refa wao wakaona wapuuze tu!!
This is not fair at all. Today am so angry. ☹️
We utamuweza udugu wangu lakini?? Ana mkanda wa boxing shauri yako 🤣🤣🤣Sio mikwara, mi nagonga vitasa vibaya mno.
Uliza tu jirani yangu mzuri.
Aniwezi ata awe na mkanda wa jeshi (both OG na lile gonjwa) 😂We utamuweza udugu wangu lakini?? Ana mkanda wa boxing shauri yako 🤣🤣🤣
Nakuuliza pm ni issue private, pm iko wazi??
🤣🤣🤣🤣 hivi na wewe unafunga piem ya nini na huna hata wa kukupenda jirani?? Mbona una visa sana ww!!!Aniwezi ata awe na mkanda wa jeshi (both OG na lile gonjwa) 😂
Itakuwa wazi for 30 minutes saa 4 nafunga. Jali muda jirani 😂
Huu mpira haujaisha bado,mpaka CAF wajinyeeNdiyo tutolewe kwa zengwe la aina ile! Yaani faulo ya Lomalisa, refa ameitwa kwenda kujiridhisha! Halafu goli lenye utata, watu wa VAR na refa wao wakaona wapuuze tu!!
This is not fair at all. Today am so angry. ☹️
😂 nna sababu zangu za msingi sana, ikifika saa 4 naifunga.🤣🤣🤣🤣 hivi na wewe unafunga piem ya nini na huna hata wa kukupenda jirani?? Mbona una visa sana ww!!!
Mhmmm!!!! Sababu gani?? 🤣🤣🤣😂 nna sababu zangu za msingi sana, ikifika saa 4 naifunga.
Sina hata wa kunipenda kivip, sijakuelewa
Hilo la sababu niachie mambo yangu mwenyewe 😂Mhmmm!!!! Sababu gani?? 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣 Unapenda kujibrandHilo la sababu niachie mambo yangu mwenyewe 😂
😂 brand kubwa hii sema sijui inadili na nini🤣🤣🤣🤣 Unapenda kujibrand
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] endelea kutesekaaa, poleeee.Uto au makolo ndio mmevurugwa??
Yanga kutolewa imewafichia aibu maana kila mtu huzungumzia mechi ya yanga kias simba kusahaulika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeee
Uduguu, semi final utamfunga Experance kweli? [emoji23][emoji23][emoji23]Achana naye kashajifia kapigwa nje na ndani huyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ntakuitia Williams [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ntampiga na navyopiga vibaya [emoji23]