FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

😂😂
Mimi ni the blues damu, Jana nikabet na shabiki mmoja wa maniyu sahii kanirusha hela yangu, sikujua kama mashabiki wa Man U ni matapeli..!!
Weee siku nyingine usijaribu wifi mashabiki wa Man U ni matapeli sijawahi kuona. Kuna mmoja alinikana katakata na tulikubaliana tuweke dau kubwa… kilichotokea kwanza ncheke 🤣🤣🤣🤣🤣
Ni aibu hata kuongea
 
amtaki kushinda ata ball possession trophy kama ndugu zenu wa saa 5 .
 
Weee siku nyingine usijaribu wifi mashabiki wa Man U ni matapeli sijawahi kuona. Kuna mmoja alinikana katakata na tulikubaliana tuweke dau kubwa… kilichotokea kwanza ncheke 🤣🤣🤣🤣🤣
Ni aibu hata kuongea
😂😂😂
Pole wifi yangu, ukipunguza machungu unihadithie vyema tafadhali..!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udugu umefikia hukuu? Aaah mie ctaki bhana.
Kwa kikosi hiki haki wakishinda najitoa out udugu 🤣🤣🤣🤣
wee huogopiii??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…