Ninajua kuwa mpira ni magoli; ila statistics hizo zinaonyesha Yanga kuelemewa. Timu inapoelemea ndipo huruhusu magoli. Kuruhusu kona mbili na kadi moja ndani ya muda mfupi siyo mwelekeo mzuri kwa Yanga.Watu wanaangalia magoli brother
Waende wapi wakati wame ambiwa wakae apo apo[emoji81][emoji81]Yanga waache ujinga hii mechi mamelod imewashinda
ππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
KapoteanaMkude nin tenaa
Mistake. Kafanya mengi mazuri na mpaka sasa Yanga haijafungwa ana mchango mkubwa mno.Mkudeeeeeee mpuuuzii
Goli 7 zitafika kweli hapa mamelod mnazingua π‘π‘π‘π‘π‘π‘