Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Ninajua kuwa mpira ni magoli; ila statistics hizo zinaonyesha Yanga kuelemewa. Timu inapoelemea ndipo huruhusu magoli. Kuruhusu kona mbili na kadi moja ndani ya muda mfupi siyo mwelekeo mzuri kwa Yanga.Watu wanaangalia magoli brother