Yanga wakipata goli wanapita. Sundowns wameshindwa kuwafungua.Yani yanga kama kawaida hawashambulii wote wameamua kuwa mabeki, kazi ya kufunga magoli wamewaachia mashabiki, siyo mbaya wakomae waende hadi matuta ili wafe kiume vizuri
kwa uhuu utumbo beki yupo peke ake anabuta mpira pupuuuu kama anacheza ndondoMpira wa Tanzania umekuwa sana
We mkuu ulikuwa wapi mbona sikuoni siku nyingiYanga anapigwa 3
Hayo makosa beki yoyote anafanyakwa uhuu utumbo beki yupo peke ake anabuta mpira pupuuuu kama anacheza ndondo